top of page

Forum Posts

Salim
Apr 28, 2024
In Startup and Entrepreneurship.
Ukiangalia most of successful businessmen/women in Tanzania hawakupata privilege ya kuwa na elimu ya juu kama vizazi vyao. Ila sasa biashara zao zimenyooka na ndizo zilizowasomesha hao vijana wao. Je ni nini kinachokwamisha baadhi ya hawa vijana wasomi kutoanzisha projects zao ambazo zitaweza kufikia ama kupita maendeleo ya wazazi wao?
TUONGEE BIASHARA💰 content media
8
14
121

Salim

More actions
bottom of page