top of page

Forex Trading.

About

Katika dunia ya leo, Financial Freedom ni ndoto ya wengi, na kozi yetu ya “The Art of Simple Price Action” ndio ufunguo wa kufungua fursa hizi. Kozi hii itakupa msingi wa mafanikio yako katika biashara ya forex. Mtu yeyote anaweza kufanya biashara; lakini ni wale walio na ujuzi na maarifa sahihi wanaoweza kufanikiwa. Katika kozi hii, utajifunza kuhusu historia ya fedha na jinsi forex ilivyotokea, lakini zaidi ya hayo, tutakuonyesha jinsi ya kufanya biashara kama mtaalamu. Mkakati wetu wa “Simple Price Action” umejikita katika kuwasaidia day traders/ scalpers. ina setup rahisi, na inatoa matokeo halisi. Tafuta mipango bora ya biashara na ujifunze jinsi ya kudhibiti ujazo wakati sahihi ili kuongeza faida yako. Jiunge na community ya watu wenye malengo kama yako na uanze safari yako ya biashara ya forex. Uwezo wa kuboresha maisha yako uko mikononi mwako — wahi leo na uanze kuwa pro- trader.

You can also join this program via the mobile app. Go to the app

Overview

Instructors

Price

TSh 145,000.00

Group Discussion

This program is connected to a group. You’ll be added once you join the program.

Forex Traders Community

Private12 Members

Share

bottom of page